::::


WAZIRI WAMAMBO YAKIGENI WANCHI ZA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA ATOA WITO KWA SUDANMI KUU ANZA UPYA MAZUNGU MZO KATI YAO.

Balozi wamambo yakigeni wanchi za ulaya ame toa wito kwa kusini mwa sudani na kaskazini kurejea upya katika meza ya mazungu mzo kati yao  haraka sana .wakati huo huo waziri huyo ame pongeza mafikilio ya amani kati ya pande mbili  na ame karibisha   msimamo uliofikiwa juu ya maamuzi ya baraza lausalama  la kimataifa kuhusiana na kuweka ramani ya amani  itakayo weza kumaliza zoezi la kiuadui kati yao  na kuunza upya kuzungu mzia masuala ambayo hayaja patiwa ufumbuzi kwa muda wa miezi mitatu.


 

 

 
 

 
Histori Kwa Kifupi :: Habari :: Michezo :: Sanaa :: Utalii :: maswala ya kimataifa :: wasiliana na sisi