::::


POLISI NHINI KENYA WATOA TAHAZARI ZIDI YAUGAIDI,

polisi nchini kenya wametoa tahazari zidi ya ugaidi ,yamekuja hayo baada  ya masha mbulizi  yaliyo fanywa kati ya moja yakanisa  jijini naiorobi kipindi cha mwezi uliopita na kupelekea kuwawa kwa mtu mmoja na wengine kumi na wasita kujiruhiwa.kiongozi wajeshi la polisi nchini kenya ameeka ya wazi yakuwa mashambulizi hayo ambayo yalifnywa nawatu wenye kushukiwa ni mwenye kuungana na mtandao waa alkaida   ambao wana fanyishwa mazoezi na kosi lenye msimamo mkali ambalo ni kundi la boko haramu


 

 

 
 

 
Histori Kwa Kifupi :: Habari :: Michezo :: Sanaa :: Utalii :: maswala ya kimataifa :: wasiliana na sisi