:::: Ulaya yatafuta uwezekano wa kuisaidia Misri    :::: Maji ya Mto Nile yamekuwa agenda nyeti kati ya Misri, Sudani na Ethiopia    ::::


Nigeria yasema kuwa iko tayari kuziunga mkono nchi za Afrika ili zisonge mbele.

Raisi wa Nigeria Bwana Jonathan Good luck amewataka viongozi wa kiafrika kuchukua hatua za kupambana na kuzishinda changamoto zinazozielekea nchi zao na hasa zile zinazohusiana na maendeleo ya kiuchumi. Bwana Jonathan akasisitiza wakati wa mapokezi ya ujumbe unaomuwakilisha mwenyekiti wa Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Kusini mwa Bara la Afrika Khosee Eduwardo De Santose huko Abuja kwamba nchi yake ya Nigeria itaendelea kuziunga mkono nchi za Afrika ili ziweze kuyashinda matatizo yake yote kama vile ilivyofanya hapo zamani wakati wa mapambano ya nchi za Kusini mwa Bara la Afrika kwa ajili ya kujikomboa kutoka mikononi mwa ukoloni na kuzisaidia kujipatia uhuru wake.


 

 

 
 

 
Histori Kwa Kifupi :: Habari :: Michezo :: Sanaa :: Utalii :: maswala ya kimataifa :: wasiliana na sisi