waziri wamambo ya kigeni nchini misri bwana kaamil amru amefanya mazungumzo pamoja na mwenzake wa ithopia yaliyo jikita kuhusiana na hali halisi ilivyo nchini suudan.bwana kaamil katika mazungumzo yao alielezea mtazamo wa taifa la misri katika kupambana na hali halisi ilivyo nchini suudan ikiwa ni wigo wa kuleta kivuli cha amani.kwa upande wake waziri wa mambo ya kigeni nchini ithopia ame zipongeza jitihada za misri katika kuleta upa tanisho katika pande mbili.kusini mwa sudani na kaskazini hususa kwa yale ambayo hayaja patiwa ufumbuzi.